Jeshi la polisi linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya kada wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), ambaye alikuwa mwenyekiti wa Seneti vyuo vikuu mkoa wa Iringa, Emmanuel Mlelwa.

Njia hii kutumika mapambano dhidi ya Malaria-Mara
Magufuli: Tusibaguane tujenge umoja

Comments

comments