Wasanii wa sanaa za ufundi kata ya Dumila mkoani Morogoro, wameupokea mradi wa utambuzi wa wasanii wa sanaa za ufundi TACIP, kwa kishindo na furaha kubwa ulipowasili na kufungua ofisi za balozi wa TACIP Dumila.

Wakizungumza wakati wa ufunguzi wa Ofisi hizo , wamesema kuwa mradi huo ni msaada mkubwa sana kwa wasanii wasanaa za ufundi waliojisajili hasa katika kutambulika na huduma za mikopo ya kopafasta ambayo wanipata papokwapapo.

Video: Wasanii Morogoro wapelekewa mikopo hadi mlangoni, Kopafasta wamtambulisha Wakala
Waliopoteza ndugu yao kwenye ajali ya ndege waishtaki Boeing