‪Mwanasiasa mkongwe na waziri wa zamani, Stephen Wassira amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara.‬

Wassira akikabidhiwa fomu

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amefika katika ofisi za CCM Wilaya ya Bunda kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo la Mwibara.

Kangi Lugola kwenye ofisi za chama

Kishindo cha Mdee, Matiko, Bulaya kura za maoni Ubunge
Tetesi: FC Barcelona yazitega Arsenal, Newcastle Utd