Wasusi kutoka katika jiji la Dar es Salaam  walio shiriki semina ya ususi ni ajira iliyo andaliwa na kampuni ya Kopafasta, wameeleza jinsi wanavyo tarajia kutumia mikopo kuboresha kazi yao.

Wasusi hao wamesema kuwa Kopafasta imekuwa mkombozi katika tasnia  hiyo ya ususi ambayo ilikuwa imesahaulika…, Bofya hapa kutazama

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=kHUbuiGbj6U]

Watumishi serikalini watakiwa kutobweteka
Video: Kinachoua majeruhi ajali ya Moro ni hiki, UN yaipongeza serikali matumizi ya rasilimali