Mfumo wa mawasiliano kwa njia ya simu, SMS Mtandao ambao unaweza kuwafikia watu wote wenye simu za mkononi bila kutegemea uwezo simu na ‘bandle’ umepanua uwanja na kuwafikikishia watanzania huduma ya injili wakiwa nyumbani.

Meneja masoko wa kampuni ya Datavision Internatinal ambayo imetangeneza mfumo huo, Teddy Qirtu amesema kuwa kulingana na mahitaji ya watu kupata injili kwa urahisi kumewafanya kuanzisha SMS Injili.

Aidha amesema mfumo huo ni rahisi sana kutumia kwani mhubiri (mchingaji, nabii, mwinjilisti) anahitaji kuwa na namba za simu pekee za waumini na kuwatumia ujumbe mara moja na wote wakaupata,…Bofya hapa kutazama