Watu nane akiwemo Kamishna wa Kodi na Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Tiagi Msamaki leo wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kuhusika katika sakala la upotevu wa makontena 349 bandarini.

Hata hivyo, watuhumiwa hao walisomewa mashtaka na kurudishwa rumande kwa kuwa mahakama hiyo haina uwezi wa kusikiliza wala kutoa dhamana ya kesi hiyo.

Kesi hiyo itasomwa tena mahakamani hapo Disemba 17 mwaka huu.

Wanawake Wa Marekani Sasa Kwenda Vitani Kupambana
Njia Tano Za Kuepuka Msongo Wa Mawazo Kazini na Kutoichukia Kazi