Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Italia nchini, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi kilichotokea Juni 12, 2023.

Mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo, Balozi Mbarouk amesema Tanzania inamkumbuka Berlusconi kwa kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania Italia enzi za uongozi wake.

Mudathir, Sure Boy waipiga kijembe Azam FC
Robertinho: Nimewaachia kila kitu viongozi