Waziri Mkuu wa Australia, Malcom Turnbull anatarajiwa kung’olewa madarakani baada ya kutimuliwa kwa lazima na chama chake.

Chama cha Turnbull hakikupitisha jina lake katika kura ya maoni kuelekea uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni nchini humo.

Aidha, Scott Morrison anatarajiwa kushikilia wadhifa wa Turnbull baada ya kushinda kwa kura 45 kati ya 50 ya kura za maoni zilizofanyika katika chama chake.

Hata hivyo, kabla ya chama chake kumtimua kwa lazima, Turnbull alikuwa akipuuzia wito wa kumtaka ajiuzulu wakati tuhuma za uongozi zikiididimiza serikali yake.

 

Video: Utata kesi ya kina Mbowe, Bunge lanusa harufu ya ufisadi
Mbowe: Hatuogopi jela, tunataka tufungwe kwa haki