Aliyekuwa waziri wa fedha wa Zimbabwe chini ya utawala wa Robert Mugabe, Ignatius Chombo, amefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashataka ya rushwa.

Chombo alikuwa miongoni mwa watu waliokamatwa na jeshi wakati lilipochukua madaraka kabla ya kujiuzulu Mugabe.

Hata hivyo, Wakili wa Chombo, Lovemore Madhuku amesema mteja wake alikuwa amelazwa hospitali akiwa na majeraha yaliyotokana na kipigo alichopigwa na jeshi akiwa kizuizini.

Video: Rais Dkt. Magufuli amwambia Pinda ukweli mchungu, CCM, Chadema nani mbabe?
Magazeti ya Tanzania leo Novemba 26, 2017