
Rapa Kala Pina ambaye aliwahi kugombea ubunge wa jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya ACT – Wazalendo, ametoa wimbo mpya alioupa jina la ‘Magufuli Balaa’.
Pina ameeleza kuwa ameamua kufanya hivyo kwa sababu ameridhishwa na kasi ya mabadiliko inayooneshwa na rais John Magufuli.