Uongozi wa klabu ya Yanga June 26 umeamua mechi yao dhidi ya TP Mazembe keshokutwa Jumanne itakuwa bure.

Mashabiki wataingia bila kulipa kiingilio kushuhudia mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

uamuzi huo umepitishwa baada ya viongozi wa Yanga kukutana katika kikao cha pamoja na Mwenyekiti, Yusuf Manji.

yng

Umaamuzi huo wa Yanga yametajwa kuwa ni maamuzi ya hasira na kutokana  na TFF imewakosea kuingia mkataba na Azam TV wa kurusha mechi hiyo live pasipo wao kushirikishwa, wakati wao wanaamini kuwa mechi hiyo ikioneshwa Dar es Salaam watakosa mapato.

Pauni ya Uingereza Yazidi Kudorora
Israel na Uturuki Kumaliza Tofauti Zao Leo