Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar ZFA, Seif Kombo Pandu, ameeleza kupokea kwa masikitiko msiba wa mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Zanzibar Ibrahim Jeba.

Pandu amesema Jeba amefarikiĀ  Septemba 18, 2019, katika Hospitali ya Mnazi mmoja Zanzibar na wanaendelea na taratibu za mazishi kwa kushirikiana na familia.

video: Njaa' ya Makonda yazua mjadala, Wabunge wenye kesi Chadema wajilipua
Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Septemba 19, 2019