Afisa lishe mtafiti mafunzo ya lishe Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Walbert Mgeni amewahasa wajawazito kula mlo kamili ili kupata virutubisho kwa kutumia makundi matano ya chakula, ikiwemo nafaka mzizi na ndizi, vyakula asili ya mikunde, matunda, mboga mboga na mafuta sukari,asali.

Amesema ni vema mama mjamzito kutumia chakula cha Asusa yani ale chakula cha ziada…Bofya hapa kutazama zaidi

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=UwfAFY8wcAo&w=560&h=315]

Kalemani: Ufaransa, Norway mmetuwezesha kutekeleza miradi ya umeme
Habari kubwa kwenye magazeti leo, agosti 28, 2020