Tembo 55 wamekufa njaa katika hifadhi ya kitaifa ya wanyamapori ya Hwange, nchini Zimbabwe kutokana na ukame makali uliokithiri kwa zaidi ya miezi miwili nchini humo.

Msemaji wa mbuga hiyo Tinashe Farawo amesema  kuwa hali mbaya ya hewa inasababisha tembo wanakufa kutokana na ukame na hilo ni tatizo kubwa.

Theluthi moja ya watu nchini humo wameripotiwa kukabiliwa na uhaba wa chakula wakati mgogoro wa kiuchumi ukiendelea nchini humo.

kuwa watu milioni mbili wapo katika hatari ya kukabiliwa na bala la njaa nchini Zimbabwe kutokana na ukame.

Upelelezi kesi ya aliyemuua na kumchoma moto mke wake yakamilika

Baadhi ya walipatikana katika eneo la mita 50 walitembea mwendo mrefu bila maji na hatimaye kufa muda mfupi kabla ya kuyafikia.

Farawo amesema Tembo hao wamesababisha “uharibifu mkubwa” wa mimea katika mbuga ya Hwange,

tembo 15,000 lakini kwa sasa kuna zaidi ya tembo 50,000.

Mbuga ya Hwange ambayo ilikuwa haipokei ufadhili kutoka kwa serikali imekuwa ikijaribiu kuchimba visima lakini inakabiliwa na changamoto ya fedha ya kuendelezaa na mradi huo.

 

Makonda atengua kauli ya Mjema, ''Marufuku kufanya ibada katikati ya wiki''
Michuano ya Bashungwa Karagwe Cup yahitimishwa kwa kishindo