Viongozi wengi wa kisiasa imesemekana kuwa ni wanafiki kwa sababu wamekuwa wakiendekeza maslahi yao binafsi bila kujali wanannchi.

Hayo yamesemwa na wananchi mbalimbali katika mjadala uliowashirikisha wataalamu wa tasnia tofauti tofauti uloandaliwa na Jamii Forum.

Wamesema kuwa viongozi wengi hawajielewi hivyo inatakiwa kuwepo na elimu maalum kwaajiri ya kuweza kuongoza na kutatua kero za wananchi.

Katika mjadala huo, wananchi wamesema kuwa wanasiasa wengi wa Tanzania hawaielewi vizuri dhana halisi ya siasa bali wanaendekeza mihemuko.

Video: Lissu awanyooshea kidole Bunge & Polisi, Kumekucha CCM
Magazeti ya Tanzania leo Desemba 8, 2017