Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua Zuhura Yunus Abdallah kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu.
Kabla ya Uteuzi huo Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na Mtangazaji wa Idara ya Kiswahili ya Shirika la Utangazaji la Uingereza(BBC).