Mchungaji, Moses Emena na kiongozi wa taasisi ya Mibosco ameiomba serikali kusaidia watoto wa kike ambao wanaishi katika mazingira magumu.

Ameyasema hayo Kunduji jijini Dar es salaam wakati wa mahafali ya wahitimu wa ufundi Cherehani waliosaidiwa kusomeshwa na taasisi hiyo.

Aidha, ameoiomba serikali na wadau mbalimbali kusaidia watoto wa kike ambao wamekuwa wakiishi katika maisha magumu.

“Serikali na jamii kwa ujumla ninaiomba kuwasaidia hawa watoto, kumsadidia mtoto wa kike ni kumuwezesha kuweza kujikwamua katika maisha yake,”amesema Mchungaji Emena

Chadema walalama dereva wa Mbowe kusota selo
Uganda kuwatambua Wahindi kama kabila

Comments

comments