Serikali kupitia Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango tayari imewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2017/107 Bungeni Dodoma.
Watu mbalimbali wameendelea kutoa maoni yao kuhusu Bajeti hiyo ambapo leo Juni 10, 2017 mwanasiasa mkongwe na mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chauma), Hashim Rungwe Spunda wakati akiongea na Dar24 ametoa maoni yake kuhusu Bajeti Kuu ya Serikali huku akieleza kuwa bado siyo kombozi kwa wananchi wengi kwani imepambwa sana tofauti na uhalisia.
- Video: Rungwe azungumzia uteuzi wa Anna Mghwira, aeleza maamuzi yake kama akipata uteuzi
- Video: Uamuzi wa Zitto Kabwe kama akiteuliwa na Rais Magufuli
Kati ya mambo ambayo amezungumzia Rungwe ni kuhusu Serikali kufuta ada ya mwaka ya leseni ya magari ambapo amekuwa na maoni tofauti na wengi walivyopokea taarifa hiyo. Tazama hapa