Bungeni Habari Maisha Mazingira Siasa Zetu Teknolojia Uchumi Majaliwa aongoza kikao Kamati ya Mawaziri Nishati safi ya Kupikia 11 months ago Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu Nishati safi ya kupikia, katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko. Elimu magonjwa yasioambukiza inahitajika - Dkt. Mpango Super Eagles yamfurahisha Saka