Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu Nishati safi ya kupikia, katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma.

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.

 

Elimu magonjwa yasioambukiza inahitajika - Dkt. Mpango
Super Eagles yamfurahisha Saka