Majaliwa: Simamieni miradi ya maendeleo kikamilifu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakazi wa Kitongoji cha Muhumba, Halmashauri ya Wilaya Butiama ambapo aliwaeleza kuwa Serikali itaendelea kuhudumia watanzania katika maeneo yao.
Majaliwa pia amewataka Wakuu wa Wilaya nchini kusimamia kikamilifu miradi yote ya maendeleo kwenye maeneo yao ili ikamilike kwa wakati na viwango.