Majaji wa Afrika Kusini hii leo Aprili 9, 2024 wanatarajia kutoa uamuzi iwapo rais wa zamani Jacob Zuma ataruhusiwa kugombea uchaguzi wa Mei au la, baada ya kuzuiwa na Tume ya Uchaguzi.
Zuma, ambaye alihamia chama cha uMkhonto weSizwe kutoka chama tawala cha ANC alikosimamishwa uanachama, alikataa rufaa kupinga uamuzi wa Tume ya Uchaguzi.
Mwezi uliopita (Machi 2024), Maafisa wa Tume ya Uchaguzi walieleza kuwa walimzuia Zuma kwa sababu alipatikana na hatia na Mahakama na kuhukumiwa jela, kwa kuidharau Mahakama.

Saba wafariki kwa ajali ya Daladala, mmoja mahututi
Skudu: Aziz Ki hatacheza Afrika Kusini