Habari Maisha Matukio Dkt. Biteko amtembelea RC Mstaafu Mashishanga 9 months ago Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, Amemtembelea kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Mzee Stephen Mashishanga, nyumbani kwake, Mtaa wa Forest, Mkoani Morogoro Aprili 11, 2024. Mgogoro wa ardhi Machifu, TARI: Malisa aunda kamati Tishio la usalama: Jeshi lasitisha shughuli zote za kisiasa