Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, John Imori amethibitisha kutokea kwa ajali inayodaiwa kusababisha vifo vya Watu 13 na wengine ambao iddadi yao bado haijajulikana kujeruhiwa.
Ajali hiyo imehusisha Basi dogo la abiria aina ya Toyota Coaster iliyokuwa ikitokea Somanga kuelekea Kilwa Kivinje, ambalo liligongana uso kwa uso na Roli la mafuta. Tarifa zaidi zitakuijia punde.