Rais Samia azungumza na Watanzania waishio Korea Kusini
7 months ago
Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania waishio Nchini Korea Kusini, ikiwa ni moja ya ratiba ya kumaliza ziara yake na kuanza safari ya kurejea Nchini Tanzania.