Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani wa tano kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na na baadhi ya wabunge wa Mkoa wa Pwani na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete wa sita kutoka kulia kwenye Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam.

 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani akijadiliana jambo jambo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega katika Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo, watu mbalimbali wakiwemo wa chama na serikali walihudhuria.

Tanzania kuuza Mahindi tani 650,000 Zambia
Changamoto za Wawekezaji: Serikali kujadiliana na mabalozi - Makamba