Afarah Suleiman, Simanjiro – Manyara.

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mwalimu Fakii Lulandala ameshiriki kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akiungana na mamia ya Wananchi waliojitokeza Wilayani huplmo kuwachagua Viongozi watakaowaongoza.

Mara baada ya zoezi hilo, Mwl. Fakii amewataka Wananchi kuendelea kujitokeza kutumia haki yao ya kikatiba ili kuwapata Viongozi watakaowaongoza kwa kipindi cha miaka 5 na kuhamasisha maendeleo kuichumi pamoja na kutatuta changamoto za kijamii.

Kapinga: Nimepiga kura, nimetimiza haki yangu ya Kikatiba
Rais Samia: Watanzania washiriki uchaguzi kwa adabu, faragha