Picha: Rais Samia katika Mashindano ya Dunia ya Quran Tukufu
5 hours ago
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti aliposhiriki Mashindano ya Dunia ya Quran Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam leo Februari 23, 2025.