Waziri Mkuu Majaliwa na mkewe wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu
8 years agoComments Off on Waziri Mkuu Majaliwa na mkewe wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu, Linah George Mwakyembe, mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe katika mazishi yaliyofanyika Kyela, Julai 19, 2017