Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary  (wapili kushoto) wakishiriki katika ibada ya mazishi ya Marehemu, Linah George Mwakyembe, Mke wa Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Dkt Harrison Mwakyembe katika mazishi yaliyofanyika  Kyela Julai 19, 2017.  Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  Amos Makalla, Spika wa Bunge, Job Ndugai, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kulia ni Waziri wa  Kilimo na Mifugo,   Dkt . Charles Tizeba

Waziri Mkuu Majaliwa na mkewe wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu
Taasisi za Serikali zaagizwa kuandaa mpango wa mafunzo ya pamoja