Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu, Linah George  Mwakyembe, mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe katika mazishi yaliyofanyika Kyela, Julai 19, 2017

Waziri Mkuu Majaliwa na mkewe wakiweka shada
Picha mbalimbali katika mazishi ya mke wa Waziri Habari Dkt. Mwakyembe