8 years agoComments Off on Waziri Mkuu Majaliwa na mkewe wakiweka shada
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiweka shada la Maua kwenye kaburi la Linah George Mwakyembe, mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe katika mazishi yaliyofanyika Kyela Julai 19, 2017