Habari Magazeti Habari kubwa kwenye magazeti leo, Juni 12, 2021 4 years ago Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Juni 12, 2021. Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao. Majambazi wateka basi na kuwapora abiria Mtanzania aliyepanda Mlima Everest arejea nchini, aeleza siri ya mafanikio yake