Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznia Samia Suluhu Hassan ameahidi kushirikiana na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) katika mipango thabiti ya utunzaji na uhifadhi wa mazingira nchini.

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 9, 2021 ikuu Jijini Dodoma alipokutana na kufanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa UNEP Joyce Msuya.

Ameiomba UNEP kuhakikisha mpango wa Umoja wa Mataifa wa miaka mitano wanaouandaa uwe endelevu na wenye kuleta tija katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabia nchi hapa nchini.

Ajali iliyohusisha magari 3 yaua 5
KMC FC yajiweka sawa dhidi ya JKT Tanzania