RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchanguzi Zanzibar Jaji Mstaaf , Hamid Mahmoud, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaaf Mhe. Hamid Mahmoud (kulia kwa Rais)  walipofika Ikulu Jijni Zanzibar kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mku wa Zanzibar ulifanyika Oktoba,28, 2020. mwaka jana.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo  Mhe. Jaji Mstaaf Mhe. Hamid Mahmoud (kulia kwa Rais)  walipofika Ikulu Jijni Zanzibar kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mku wa Zanzibar ulifanyika Oktoba,28, 2020. mwaka jana.

Wafanyabiashara wakubali kuhama soko la Kariakoo kupisha uchunguzi na ukarabati
Wanaouza 'ARDHI' wapewa onyo