Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan yupo nchini Senegal katika mkutano wa Masuala ya Kilimo na Chakula ambao uliwahusisha Wadau wa Makampuni mbalimbali pamoja na Wawekezaji, jijini Dakar.

Katika Mkutano huo, ambao Tanzania ilikuwa Mwenyeji, Mhe. Rais Samia aliambatana na baadhi ya Mawaziri pamoja na wakuu wa Taasisi Mbalimbali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Masuala ya Kilimo na Chakula ambao uliwahusisha Wadau wa Makampuni mbalimbali pamoja na Wawekezaji, Dakar nchini Senegal tarehe 25 Januari, 2023.
Mkutano huo ukiendela.

Mkakati wa mapambano athari za ukame kuja na ripoti
Kenyatta ataka suluhisho mgogoro wa DRC, Rwanda