Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, ameshiriki ufunguzi wa Mkutano wa 18 wa Maspika na Viongozi wa Bunge wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika – CSPOC.

Mkutano huo, umefanyika Katika Ukumbi wa Mikutano wa Yaounde Jijini Yaounde Nchini Cameroon na ulifunguliwa rasmi na Waziri Mkuu wa Cameroon, Dion Ngute kwa niaba ya Rais wa Nchi hiyo, Paul Biya hii leo Julai 18, 2023.

Fikiri Elias kufanya kazi na Mwinyi Zahera
Liverpool yamsaka kwa nguvu Kalvin Phillips