Katika kuendeleza kampeni ya kupaza sauti ya #HakiZaWatoto, leo Oktoba 28, 2023 TAMWA – ZNZ kwa kushirikiana na Wadau wa maendeleo, wakiwemo Foundation For Civil Society – FCS na Ubalozi wa Norway wanaendelea kuadhimisha siku ya Mtoto wa Kike.

Maadhimisho hayo, yanafanyika sambamba na uwasilishaji wa ripoti juu ya ufanishi wa Mahakama Maalum ya Udhalilishaji Zanzibar, ikiambatana na kujadili mustakabali wa Watoto kulindwa dhidi ya udhalilishaji, ili kufikia ndoto zao kijamii na kiuongozi.

Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni “Wekeza kwenye Haki za Watoto wa Kike: Kataa Udhalilishaji.” na zifuatazo ni baadhi ya Picha za kumbukumbu wakati wa tukio hilo.

#ZuiaUkatiliZanzibar

Katwila afunguka siri ya ushindi Mtibwa Sugar
Aibu: Kashfa ya ngono yazidi kuwatafuna Mapadri