Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko anashiriki Misa Takatifu ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mteule Jovitus Francis Mwijage katika Jimbo Katoliki Bukoba mkoani Kagera. Sherehe zinafanyika katika Uwanja wa Kaitaba, wilayani Bukoba, mkoani humo.

Misa hiyo, inafanyika hii leo Januari 27, 2023 ambapo Dkt. Biteko katika uwanja wa ndege wa Bukoba Mkoani Kagera hapo jana Januari 26, 2024.

 

Uzalishaji Mbolea: GST, TFRA, TFC wasaini makubaliano
Wageni waridhishwa hali ya usalama Arusha