Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi amefungua Kikao Kazi cha Kuhuisha Mwongozo wa Maadhimisho na Sherehe za Kitaifa wa Mwaka 2011
Dkt. Yonaz pia amefungua na Mwongozo wa Ziara za Viongozi wa Kitaifa Mikoani wa Mwaka 2011 kilichofanyika Jijini Dodoma
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho, amewakumbusha kuzingatia ufanisi na weledi huku wakizingatia kanuni na taratibu za utumishi katika kuandaa miogozo hiyo.