Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji – EWURA, imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya Petroli zitakazotumika kuanzia hii leo Septemba 4, 2024 saa 6:01 usiku.

Kwa mujibu wa  taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt. James Mwainyekule imeeleza kuwa, Wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa jumla na rejareja wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zilizoidhinishwa kama ambavyo zinaonekana katika jedwali hapa chini.

 

 

 

Tetesi za usajili Duniani leo 04 Agosti 2024
Simbachawene: Kuweni na moyo wa huruma