Klabu ya Azam FC imeendelea kujiimarisha kwa kufanya mabadiliko makubwa ya benchi la ufundi mara baada ya kumalizana na Yosuph Dabo. Klabu hiyo yenye makao makuu Chamazi Jinini Dar es salaam imemtambulisha kocha mkuu Rachid Taousis, Kocha msaidizi Badr Driss ,Kocha wa viungo Ouajou Driss na kocha wa Magolikipa Rachid El Mekkaoui.

Mbali na kupata sare kwenye mchezo wake wa ligi kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania. Azam FC wamedhamiria kubeba makombe ya ligi kuu ya NBC ,Kombe la CRDB,Kombe la mapinduzi na Muungano kwa msimu wa 2024/25. Azam imeonyesha nia ya makombe hayo kwa kuleta wachezaji wenye uwezo wa hali juu na kumleta kocha Rachid Taousis mwenye rekodi kubwa.

Richard Taousis ni nani?

 

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Septemba 9, 2024
Kifo cha Kibao : Mwenye taarifa za uhakika aziwasilishe - Polisi