Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti alipotembelea Mabanda mbalimbali kwenye Soko la Madini Geita ikiwa ni sehemu ya kufunga Maonyesho ya Saba ya teknolojia na uwekezaji katika Sekta ya Madini hii leo Oktoba 13, 2024.

 

Picha: Rais Samia akimsalimia Mama mzazi wa Janeth Magufuli
Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Oktoba 13, 2024