Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, pamoja na wataalam kutoka Wizara ya Nishati na Wizara ya Maji kujadili namna ya kuboresha utendaji.

Katika kikao hicho ambacho kimefanyika hii leo Januari 23, 2025 jijini Dodoma, pia wamejadili jinsi ya kukabiliana na changamoto zinazozikabili Taasisi zilizoko chini ya Wizara hizo.

Simba hii ya Fadlu kukabidhiwa ubingwa mapema
Katambi ataka majina ya Watumishi wanaowakwamisha Walimu