Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Mabanda mbalimbali wakati wa Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (3rd G25 African Coffee Summit) Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) Dar es salaam leo Februari 22, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akinywa Kahawa inayozalishwa nchini Tanzania na Waziri wa kilimo Hussein Bashe kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25 Africa Coffee Summit) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.