Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata Mashariki kwenye Mkutano wa hadhara na Wananchi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ikiwa ni Siku ya kwanza ya ziara Mkoani humo leo February 23, 2025.

Dkt. Mwinyi aongoza dua kumuombea Hayati Mzee Mwinyi
Picha: Rais Samia katika Mashindano ya Dunia ya Quran Tukufu