Rais Samia katika hafla ya Uzinduzi wa Jengo la Halmashauri Bumbuli
6 hours ago
PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofautitofauti wakati wa hafla ya Uzinduzi wa jengo la Halmashauri ya Bumbuli Mkoani Tanga ikiwa ni sehemu ya Ziara ya kikazi Mkoani humo leo FebruarI 24, 2025.