Seif asema heri CCM, Wanaokata rufaa vyeti feki waonywa, waambiwa wasifanye mzaha, adhabu kali yaja, Machungu ya vyeti feki, waliopeleka vyeti kuhakikiwa upya wabainika walibadilisha madaraja, Serikali yaamua kutangaza ajira za dharura, Benki tatu hatarini kufungwa…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 4, 2017.

Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania.

Bofya hapa kutazama

 

?LIVE: Prof Lipumba akimjibu Maalim Seif, ni kuhusu mgogoro CUF

Ripoti ya LHRC yaibua madudu Dar
Magazeti ya Tanzania leo Mei 4, 2017