Video: Ngome ya Lowassa yatikiswa, Chadema yazidi kumeguka
6 years agoComments Off on Video: Ngome ya Lowassa yatikiswa, Chadema yazidi kumeguka
Ngome ya Lowassa yatikiswa, Chadema yazidi kumeguka, Mbunge wa Monduli naye atua rasmi CCM, achoshwa na siasa za chuki, uhasama na malumbano, Waliopikwa na mbowe dhahabu kwa JPM, Lugola Zitto patachimbika…,Bofya hapa kutazama habari zilizopewa uzito katika magazeti ya leo Agosti 1, 2018.