Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Steven Wasira kuwa mwenyekiti wa bodi ya chuo cha mwalimu Nyerere nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Mark Mwandosya.
Aidha, wakati huo huo Rais Dkt. Magufuli amemteua Dkt. Festus Bulugu kuwa mwenyekiti wa baraza la uwekezaji la wananchi kiuchumi.
Dkt. Limbu anachukua nafasi ya Dkt. John Jungu ambaye amekuwa Katibu Mkuu wizara ya Afya, Jinsia Wazee na Watoto.
-
Video: Mkurugenzi Lutengano ataja mambo manne wilayani Magu
-
Huyu ndiye mkuu wa mkoa bora kwangu- JPM
-
Makontena ya Makontena hayauziki, yahusishwa na laana aliyoitoa